Natafuta soko la samaki wabichi Sato na Sangara

Jul 18, 2012
69
25
Habari yenu JF members,
Tunatafuta wateja wa jumla wa samaki wabichi aina ya sato na sangara kutoka Mwanza. Sangara wanaukubwa wa kuanzia 50cm na Sato 25cm.Sangara 1kg pamoja na usafiri Tshs 6000 bila usafiri 1kg inaanzia Tshs 5200, Sato 1kg inaanzia Tshs.7000 pamoja na usafiri bila usafiri 1kg inaanzia Tshs.6000. Bei hizo ni kwa mteja atakayeweka oda kuanzia 1kg mpaka 200kg. Pia tunatoa na hudumu ya kusafirisha mzigo wa samaki mpaka mahali mteja alipo ndani ya Tanzania na nje ya Tanzania pia kama mteja atapenda.Kwa maelezo zaidi mteja anaweza kuwasiliana na mimi kupitia no.0759302697 au 0784168848
Natanguliza shukrani zangu kwa wote mliosoma tangazo hili,karibuni sana tuwahudumie.
 
Back
Top Bottom