Toyota Noah inauzwa

Barraza

JF-Expert Member
Oct 10, 2011
481
270
White color
1998
98,500Km
G limited
CD Player A/C
Rear Spoiler
Fog Lamp
Bei: 13,700,000Tsh
 

Attachments

  • 23867_2.jpg
    23867_2.jpg
    21.9 KB · Views: 37
  • 23867_6.jpg
    23867_6.jpg
    18.7 KB · Views: 35
  • 23867_7.jpg
    23867_7.jpg
    28.6 KB · Views: 33
  • 23867_8.jpg
    23867_8.jpg
    17.8 KB · Views: 47
Ziko vema, ngumu pia. Ila naona zinakula mafuta zaidi ya zile zingine. But ikimudu hilo ni bora ya hizo zingine.
 
Hii jf sijui nini tatizo, mbona wanafuta picha, sasa km hapo wameacha picha ya engine tu, imekuwa hovyo sana.
 
Mwenye 7M alete nimpe raumu mupyaa

Namba C
Color:black
CD player
full AC

imewahi kutembea kilometa 800 Tu..
 
Ziko vema, ngumu pia. Ila naona zinakula mafuta zaidi ya zile zingine. But ikimudu hilo ni bora ya hizo zingine.

Ulaji wake wa mafuta ni wa kawaida sana, sawa tu na Noah nyingine.
Ila hii ni imara na inadumu zaidi kulinganisha na version nyingine za Toyota Noah.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom