Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

kwa graduates waliojiandikisha kufanya mitihani ya certificate na professional level review zinaanza leo , kituo ni E school of banking & microfinance, kipo shule ya kisutu posta, dsm...nb kwa...
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Kwa wakazi mbeya, ninayo Gari Noah, nzima , hausumbui, no C, natafuta watu Wa kuwakodishia wanapokuwa na safari zao za pamoja kuanzia MTU mmoja hadi 7 kwenda sehemu yoyote ndani ya jiji la mbeya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini Great Thinkers, Nina shida na nyumba ya kupanga Mkoa :Morogoro Mahali: Kihonda/sabasaba/bigwa Mahitaji: Iwe na vyumba viwili/vitatu kimoja kiwe master,jiko sebule,dinning na iwe ndani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari, Mada inajieleza hapo juu,natafuta watu wenye maduka ya jumla jumla ya nguo spesho,vipodozi,electronics(simu+vifaa vyake,solar panels+vifaa vyake,tv,radio) wenye malengo ya kuwafikia wateja...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Used Haina tatizo lolote Nauza kwasababu nilitarajia kuanza stationary ofisi lkn nimeghairi. Tsh laki 8 tu (800,000/=)
0 Reactions
0 Replies
800 Views
This is the beautifully 2 furnished en suite House at Kawe Beach area, OCEAN FRONT newly remodeled with all amenities and a HUGE Balcony from landscaped garden, has 2 large bedrooms and 2 full...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Pata raba kwa jumla 23000, rejareja 27000 tu, mkoani unatumiwa, gharama za usafirishaji ni zako mteja. Dar home delivery kwa anaechukua kuanzia pair 2 na anachangi nauli 1000. 0629586817
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama unahitaji chumba au Nyumba ya kupanga maeneo ya Mwenge, Mbezi au wazo wasiliana nami, Chumba self, chumba sebule, vyumba viwili na kuendelea, bei zinatofautiana kulingana na mahali na ubora...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
OPTIMAX BUSINESS CONSULTING FIRM kampuni ya OPTIMAX, inawatangazia wadau wote wanaohitaji huduma zifuatazo; 1.Kufanya survey(tafiti ndogo) za masoko kwa wale wanaotaka kuanzisha biashara au...
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Hello Tunakaribisha wauzaji wa vitu vya watoto jumla na reja reja
0 Reactions
0 Replies
578 Views
Hello JF Hope you all doing great and we made to finish the first month of the year, We are looking good agents and wholesalers in Dar es Salaam and upcountry Kindly contact us for more info. Cheers
0 Reactions
0 Replies
629 Views
Mimi Ni msanii muda mwingi nauza kazi zangu online worldwide, nikaona sio vibaya nijaribu kupost thread hapa kuhusu kazi za Sanaa, kujaribu kutafuta soko la nyumbani, nachora African paintings kwa...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Iko junction ya tabata na mandela road.ishalipiwa rent mpka March. Bei 2.5.maongezi yapo. Sms 0787123085
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau nauza simcard za mpesa bei ,250000/=serious buyer ,nicheki kwa 0762061350 Ni simcard,line za mpesa
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana jf,nauza shamba langu eka 4,shamba lipo maeneo ya mbuyuni barabara kuu iendayo simanjiro,shamba lipo pembeni ya barabara kuu iendayo simanjiro. Shamba lipo umbali wa kilometa 25...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bei jumla ni 40000, rejareja ni 45000, mkoani unatumiwa ila gharama za utumaji ni zako mteja, Dar home delivery kuanzia handbag 2, na unalipia 1000 ya nauli. Ulipo tupo 0629586817
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani naomba anaejua bei za miti ilio na maeneo wanayouza hapa Dar es Salaam, Iringa au mikoa ya karibu na Dar es Salaam nitashukuru sana, nahitaji mingi kidogo.. Miti na diameter 120-160 urefu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari za jioni wadau!! naomba msaada kwa mtu ajue soko la chengachenga ndogo za green toumaline hasa kenya ambapo nmepata tetesi kua ilo soko lipo. ila kwa Tanzania wanaitaji sana ya chekecho...
0 Reactions
0 Replies
799 Views
Je unahitaji ushauri kuhusiana na tafiti za kielemu (academic) kuanzia ngazi ya diploma, degree na masters na zisizo za kielimu? Tafadhali wasiliana nasi. Gharama zetu za ushauri zinaanzia...
0 Reactions
1 Replies
924 Views
Hello wana jamii wenzangu, Poleni na pilika. Jamani na Tafuta Toyota Vitz ya kununua ambayo bado iko kwenye good running condition.. asanteni.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom