Sofa zinauzwa 300, 000 tu jipatie

Tunzo

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
4,065
2,361
zipo Dar es saalam maeneo ya Mwenge ni mpya hazijatumika, bei kwa moja ni 300,000 maongezi yapo, pia kama una sofa au kochi la kurekebisha /kubadilisha kitambaa au ngozi nione, namba yangu ni 0713415537
 
zipo Dar es saalam maeneo ya Mwenge ni mbaya hazijatumika, bei kwa moja ni 300,000 maongezi yapo, pia kama una sofa au kochi la kurekebisha /kubadilisha kitambaa au ngozi nione, namba yangu ni 0713415537

Mbaya hazijatumika' hapo sasa! Zina garantii?
 
Mbaya kwa 300000 halafu kama una zako........ Unafikiri utapata mteja kwa hili?
 
zipo Dar es saalam maeneo ya Mwenge ni mbaya hazijatumika, bei kwa moja ni 300,000 maongezi yapo, pia kama una sofa au kochi la kurekebisha /kubadilisha kitambaa au ngozi nione, namba yangu ni 0713415537
Tunzo rudi urekebishe tangazo usije ukakosa wateja ukasingizia uchawi au nuksi
 
zipo Dar es saalam maeneo ya Mwenge ni mbaya hazijatumika, bei kwa moja ni 300,000 maongezi yapo, pia kama una sofa au kochi la kurekebisha /kubadilisha kitambaa au ngozi nione, namba yangu ni 0713415537
SASA Kama Ni Mbaya, Je Iweje Unawatangazia Watu Waje Kununua Kwa Lengo Lipi!!?? Labda Hilo La Kurekebisha La Vitambaa Na Makochi Ya Zamani Ya Mito!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom