Nyumba ambayo haijamalizika ujenzi inauzwa Goba

Nahonyo

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
5,495
5,284
Nyumba tajwa inauzwa ina eneokubwa la uwanja, iko Ghoba bei Tsh.30 mil. Piga 0687 877 001 kwa ajili kuiona live.
IMG-20160204-WA0002.jpg
View attachment 321347 View attachment 321347 View attachment 321347 View attachment 321349
IMG-20160204-WA0003.jpg
View attachment 321347
IMG-20160204-WA0002.jpg
IMG-20160204-WA0003.jpg
IMG-20160204-WA0002.jpg
IMG-20160204-WA0003.jpg
IMG-20160204-WA0001.jpg
IMG-20160204-WA0001.jpg
IMG-20160204-WA0001.jpg
IMG-20160204-WA0001.jpg
IMG-20160204-WA0001.jpg
 
Acha utapeli, goba kupata kiwanja chini ya mil. 15 ni ndoto afu jumlisha na hiyo nyumba

Kingine kwanini upogie picha ndani ya gari?
Ivi inakuwaje mtu anangaza biashara, ambayo wewe huijui nawe unatangaza utapeli nini nia yako hasa, kuonekana mjanja wa mjini kuwa unawajua matapeli eti. Mjanja huwa anachukua tahadhari ikiwa pamoja na kuandaa hata vyombo vya usalama ili kukomesha tabia hii inayumiza watu, nakuheshimu sana ndugu yangu ingawa sikujui. Nyumba inayouzwa ni mali halali, kupigaia picha ndani ya gari hakubatilishi uhalali wa umiliki, Na wala kupiga picha nje ya gari kuhalalishi Mali isiyo yako. Nilidhani Kama mstaarabu kile kinachokupa shaka ungenipigia kijiridhisha zaidi, hata ukitaka kuiona tukiwa tumefuatana Askari ambao utawaanda Kama Kuna utapeli hatua zichukuliwe, Na garama za safari nilipe Mimi. Sasa nyuma upo Na upo eneo la Ghoba mivumoni, ila umenikera Sana nadhani ujana unakusumbua.
 
Teh teh teh,Mkuu umejuaje kuwa yupo ndani ya Gari?

It is obvious!! Amepiga akiwa ndani ya gari huoni sehemu za gari kwenye picha?? Lakini swali lina mantika sana kwa sababu if the house is your why can't you take good pictures??
 
N
Kabadilisha picha mda si mrefu
Nia ilikuwa kupunguza picha hiyo ya kwenye gari imejirudia. Najua sio mnunuzi, ila kwa mnunuzi anaweza kuja Mbezi Luis ninapoishi tuazie kukuonyesha ninapoishi, alafu kuelekea kwenye eneo linalouzwa Tafuta wewe Askari wako, ambae utahakikisha Kama Kuna utapeli kwanza nilikurudishieni gharama za usafiri, Na hatua za kisheria zichukuliwe. Nimeweka no ya siku sidhani Kama haipatikani nakuongezea no nyingine 0714 135 144 acha kuharibu biashara za watu unajua jamii nyingi huku Ni bendera, hakuna anaweza kujiridhisha yeye binsfsi pamoja Na kuweka no ya siku. Kujua anaeuza Ni nani, sababu za kuuza, ukisema tapeli kila mtu anaona ataingia kwenye mtego.
 
Membar's Niwaondoe Shaka nyumba inayouzwa, Ni nyumba yenye uhalali kwa kuwaondoa wasiwasi humu kuna watu wa vyombo vya usalama, no za simu nimeweka Na niko Mbezi Luis pili unataka kununua eneo siku mnapoenda, shirikisha majirani wa eneo Hilo kwa kuwauliza baadhi ya mambo unayotilia shaka. Hakuna utapeli unaoshirikisha watu wengi.
 
Acha utapeli, goba kupata kiwanja chini ya mil. 15 ni ndoto afu jumlisha na hiyo nyumba

Kingine kwanini upogie picha ndani ya gari?
Anyway tuwe makini kuna yale majipu yaliyotumbuluwa na yaleyaliyo kwenye pipeline yanajaribu kudispose assets na nyingi kati ya hizo assets vyombo vya ulinzi na usalama vimesha zihearmark ,be watchful guys
 
Membar's Niwaondoe Shaka nyumba inayouzwa, Ni nyumba yenye uhalali kwa kuwaondoa wasiwasi humu kuna watu wa vyombo vya usalama, no za simu nimeweka Na niko Mbezi Luis pili unataka kununua eneo siku mnapoenda, shirikisha majirani wa eneo Hilo kwa kuwauliza baadhi ya mambo unayotilia shaka. Hakuna utapeli unaoshirikisha watu wengi.


kikubwa taratibu za kisheria za ununuzi zifuatwe kwa atakayetaka kununua..

ila mkuu ukiona watu wanapiga kelele may be kuna utapeli hufanyika huko...
 
U
hizi picha za kupigia kwenye gari zinatia shaka!
Basi Kama shaka yako picha za kwenye gari basi Mimi nitakua tapeli mwanafunzi, Mimi nakushauri uwe Na vigezo madhubuti vya kujiridhisha unaponunua ardhi Na sio picha imepigwaje. Hivi unadhani tapeli anaweza shindwa shuka kwenye gari, akapiga picha hata Kama kwenye nyumba yupo anauwezo kumuomba kuipiga picha kwa sababu atakazo toa mfano: Ameipenda ramani. Unapoamua kununua ardhi au Mali kuwa Na vigezo vyako kujiridhisha, ninauhakika hii nyumba itauzwa tu bola shaka Na mteja atatokea jamiiforums ama pengine.
 
Mi sio mnunuzi ila sijaona kama kupiga picha akiwa ndan ya gari ni dalili ya utapeli au kiwazo cha kununua hiyo nyumba....kuna biashara zinafanyika humu hata picha haiwekwi aysee!!
 
I
Acha utapeli, goba kupata kiwanja chini ya mil. 15 ni ndoto afu jumlisha na hiyo nyumba

Kingine kwanini upogie picha ndani ya gari?
Inategemea kiwanja ulinunua lini pia .nilinunua kiwanja goba mwaka 2008 24x24 milioni nane, so nijenga nyumba mbaka hapoilipofikia kwa milioni 21, sema yangu mi siuza nitaimalizia mwenye. pili usiombe upte shida ndugu utauza hata milioni 20, yawezeka jama akawa tapeli hama lah kikubwa fwatilia ukweli wa hili tangazo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom