Baskeli used toka Uswiz 23-31/1 Mwanza

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
14,084
8,383
ImageUploadedByJamiiForums1453482378.285447.jpg

Kuanzia kesho sa3:30 mpk sa11 jioni duka litakua waZi Ryan's hotel njia ya kwenda Capri point Mwanza.

Baskeli mtumba kutoa Uswizi, kuanzia za watoto mpk wakubwa utapata. Changamkia fursa hii kuanzia kesho, pia utafanyiwa 'basic maintenance'ukitaka.

Bei ni kuanzia 150,000 mpk 250,000 kwa bike 1. Kwa kiwango cha hizi bike utaamini kua zile used za mlango 1 au zile mpya kbs hazizifikii hizi.

Wauzaji ni waliozileta Tanzania moja kwa moja toka ulaya. Ni zawadi nzuri kwa mwanao au mdogo wako changamkia fursa,the first to come gets the best! Karibuni wote

Kwa maelezo zaid mcheki Edmund 0759 798 744
 
Jerrymsigwa nilijua unabeba boksi majuu kumbe tupo wote hapa Mwanza..ngoja nije nikuvizie then nikupm afu nikuone maana nna hamu ya kuwaona member wa humu kijiweni live.

Pasco nlishamuona pale kigambani! Preta na hamu nae pia.
Hahahahah mkuu kuna sehem nimesema nipo Mwanza mkuu?

Ila sawa tuu, changamkia hiyo usiende Mlango 1, kuna time nilipita kitambo nikakuta zile bike chafuuu na kutuuu alafu jamaa anauza 150,000 non-negotiable!
 
Hiyo ni kweli lango lango wana bei za kuropoka saana afu bidhaa zenyewe lonya..mbaya zaidi ni dharau jamaa anaweza kutamka bei ndefu akiwa anacheza draft wala hata hakujali wala kukuangalia...!

No wonder watu wanaenda makoroboi siku hizi, wakifikiri bei za mlango1..wanavurugwa kabisaa.

Nitakuja niko kwenye chama cha cyclist hapa mwanza, kwa bei xako hizi count me in. Nitafika ndugu yangu nikuunge mkono.
 
Karibu sana mkuu utamkuta Eddie pale
 
Wadau siku ndio leo, baskeli used toka Uswiz container nzima Ryan's bay hotel. Saa3:30 milango iko wazi, chagua baskeli yako au mtoto kwa bei 150,000-250,000.
 
Zinaonekana ni nzuri, pindi nikiingia mjini nitapita hapo maana niko Magu.
 
All u are welcome go and pick a bike of your choice, from kids bikie to adult size. Variety of high quality used bikies from Switzland
 
Switzland wanapenda sana bike,mkuu ungekuwa dar ningenunua,nazipenda kwa mazoezi,fanyeni mpango na dar,hapa zpo ila ubabaishaj mwingi
 
Mwenye mzigo si angesema kama za msaada
kama unawasiwasi mwite Magu ka vipi
Usikurupuke nauliza siyo zile za WHEELS TO AFRICA?waulize SYDS(Safe Youth Development Scheme)walizifanya nini?mimi mwenyewe nilijibebea yangu bureeee kiselaa
 
Back
Top Bottom