WENYELE JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,461 Reaction score 1,546 Feb 5, 2016 #1 Habari wakuu,naonzq king'amuzi cha DSTV kimenishinda gharama,nilikinunua Disemba 28 mwaka jana.Nipm kwa mawasiliano zaidi.Niko Bunju
Habari wakuu,naonzq king'amuzi cha DSTV kimenishinda gharama,nilikinunua Disemba 28 mwaka jana.Nipm kwa mawasiliano zaidi.Niko Bunju
T Thegame JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 2,273 Reaction score 2,402 Feb 5, 2016 #2 Ni Explora au??
WENYELE JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,461 Reaction score 1,546 Feb 5, 2016 Thread starter #3 Thegame said: Ni Explora au?? Click to expand... Ni cha Tangazo la Diamond...kinataka kunifilisi mkuu...nilihadaiwa na kiofa cha krismas mkuu...Nimerudi Azam km kawaida tu
Thegame said: Ni Explora au?? Click to expand... Ni cha Tangazo la Diamond...kinataka kunifilisi mkuu...nilihadaiwa na kiofa cha krismas mkuu...Nimerudi Azam km kawaida tu
adakiss23 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 4,907 Reaction score 5,286 Feb 5, 2016 #4 chukua 30k
WENYELE JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,461 Reaction score 1,546 Feb 5, 2016 Thread starter #5 Da adakiss23 said: chukua 30k Click to expand... Dah! Mungu asante kwa hela yako ila.ndo hivyo haitoshi
Da adakiss23 said: chukua 30k Click to expand... Dah! Mungu asante kwa hela yako ila.ndo hivyo haitoshi
T Thegame JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 2,273 Reaction score 2,402 Feb 5, 2016 #6 Mkuu vumilia! Bado miezi mi3 tu ligi zote zitaisha na utalipia kifurushi cha bomba 23500 WENYELE said: Ni cha Tangazo la Diamond...kinataka kunifilisi mkuu...nilihadaiwa na kiofa cha krismas mkuu...Nimerudi Azam km kawaida tu Click to expand... k
Mkuu vumilia! Bado miezi mi3 tu ligi zote zitaisha na utalipia kifurushi cha bomba 23500 WENYELE said: Ni cha Tangazo la Diamond...kinataka kunifilisi mkuu...nilihadaiwa na kiofa cha krismas mkuu...Nimerudi Azam km kawaida tu Click to expand... k