Mwenye dawa ya kuwalewesha samaki temporarily

Swordfisher

JF-Expert Member
May 1, 2013
233
37
Jamani kama kuna mwenye dawa ya kuwafanya samaki wakose fahamu kwa muda na kurudia hali zao za kawaida, naomba ani PM. Nahitaji kusafisha bwawa la kienyeji na kulijengea na kisha Niwarudishe humo ili Niwafuge kisasa zaidi.
Natumaini Nimeeleweka.
 
Tumia njia ya kuhamisha maji yote na wote watafuata maji yaliko.
 
Hata kama inajulikana wewe hustahili kujua. Wewe utakuwa mvuvi tu, unataka kuvua samaki kwa kutumia sumu
 
Dragoon, post: 15183982, member: 184803"]Hata kama inajulikana wewe hustahili kujua. Wewe utakuwa mvuvi tu, unataka kuvua samaki kwa kutumia sumu[/QUOTE]
Unakosea mkuu, Ningekuwa na nia hiyo, nazijua dawa za kuwaua bila tatizo,ndio maana Nikasema kuwalewesha temporarily.
 
="dansmith, post: 15183860, member: 190192"]Du huku kuna machizi kweli[/QUOTE]
Tatizo nini mkuu?
 
Jamani kama kuna mwenye dawa ya kuwafanya samaki wakose fahamu kwa muda na kurudia hali zao za kawaida, naomba ani PM. Nahitaji kusafisha bwawa la kienyeji na kulijengea na kisha Niwarudishe humo ili Niwafuge kisasa zaidi.
Natumaini Nimeeleweka.
Nafikiri ni barafu kama wanavyofanya kwenye kamba
 
Jamani kama kuna mwenye dawa ya kuwafanya samaki wakose fahamu kwa muda na kurudia hali zao za kawaida, naomba ani PM. Nahitaji kusafisha bwawa la kienyeji na kulijengea na kisha Niwarudishe humo ili Niwafuge kisasa zaidi.
Natumaini Nimeeleweka.
Kwanza kazi ya kujengea inachukua masaa hadi siku kulingana na ukubwa wa bwawa. Hivyo itakuwa ngumu kuwalaza kwa muda huo. Pili kitaalam huwezi kujengea bwawa kwa mfano kwa zege kisha ukawaweka samaki muda huo huo watakufa. Unachotakiwa kufanya ji kuwa na matank au vyombo mbadala kwa ajili ya kuwatunza wakati unajenga bwawa lako. Mwisho, una bwawa la ukubwa gani na unakadiria lina samaki wangapi?
 
hapo itabidi ufanye mpango uwahamishie kwenye dimbwi baada ya kutengeneza uwarudishe, chimba dimbwi kama huna
 
Back
Top Bottom