Nyumba ya kupanga inahitajika Dar

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Aug 23, 2010
6,562
11,083
Nahitaji nyumba ya kupanga kuanzia vyumba viwili na iwe na sebule, jiko, store, master bedroom iwe moja, iwe kwenye uzio, isiwe zile nyumba za kizamani korido refu kama uwanja wa mbio....

Maeneo isiwe uswahilini iwe karibu na mwenge, sinza, ubungo, mbezi, kimara, Mikocheni, kinondoni, morroco, mbezi beach..... Kama ni apartment iwe na parking ya kutosha.

Bajeti kuanzia 1 Tsh up to 450,000/= Tshs.
 
Nahitaji nyumba ya kupanga kuanzia vyumba viwili na iwe na sebule, jiko, store, master bedroom iwe moja, iwe kwenye uzio, isiwe zile nyumba za kizamani korido refu kama uwanja wa mbio....

Maeneo isiwe uswahilini iwe karibu na mwenge, sinza, ubungo, mbezi, kimara, Mikocheni, kinondoni, morroco, mbezi beach..... Kama ni apartment iwe na parking ya kutosha.

Bajeti kuanzia 1 Tsh up to 600,000/= Tshs.
ipo moja tabata Ila haina uzio mkuu itakufaaa TABATA KIMANGA
 
Sidhani kama utakutana na land lord hapa... Hujui kwamba mjini hapa asilimia 40 na zaidi ya wabongo tunajihusisha na shughuli za udalali kusupport kipato? Kuna siku dem wangu mmoja hivi alikuwa anataka kununua gari. Wacha nimfanyie udalali na mimi nikala vi laki kadhaa hapo...
 
Hapa mjini huwezi kupanga bila dalali hata uende kwa mwenyenyumba atakwambia rudi uje na dalali! 0755957515 nyumba sinza zipo dizain unayotaka nichek
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom