Nyumba inapangishwa Moshi mjini

Nashengena

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
2,875
5,270
Habari wandugu

Nyumba inapangishwa iko maeneo ya Msasani karibu na Zara Tours. Nyumba iko sehemu nzuri sana, ina vyumba vitatu kimoja master, public toilet ya ndani, dining , jiko na sitting room kubwa. Tiles, jipsum , maji ya bomba yameunganishwa hadi ndani. Nyumba iko ndani ya fensi na ina geti. Kuna nyumba bili kwenye compound moja Bei ni laki tatu (300,000/-) . Nyumba ni ya dada yangu hakuna dalali . Kwa mawasiliano piga namba 0714078881, 0715462994 .

m
DSC_3377.JPG
DSC_3380.JPG
DSC_3384.JPG
DSC_3377.JPG
DSC_3380.JPG
DSC_3384.JPG
DSC_3389.JPG
DSC_3398.JPG
 
Wewe mwenyewe dalali akiongezeka mwingine mtagawana nini sasa nafuu umeweka ukuta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom