Ukimpata nijuze na mimi nina shida ya turbo ya gari yangu piaJamani mwenye kujua fundi wa kifaa cha gari turbo naomba anijuze.
Turbo ya gari yangu inapoteza oil sana.
Tony turbo 0715473482, tabata dampo
Huko ndio kwenyeweUlizia tony turbo,tabata dampo atakusaidia
Sijakuelewa vizuri hiyo turbo inapotezaje mafuta? na je ni turbo ya gari gani? maana usijekuta ni gasket tu ndio imekufa wewe ukaanza kupanic, maana nijuavyo mimi mafuta(Oil) inayokwenda kwenye turbo ni ile inayotumika kulainisha bearing tu,
Mdau tiririkaSijakuelewa vizuri hiyo turbo inapotezaje mafuta? na je ni turbo ya gari gani? maana usijekuta ni gasket tu ndio imekufa wewe ukaanza kupanic, maana nijuavyo mimi mafuta(Oil) inayokwenda kwenye turbo ni ile inayotumika kulainisha bearing tu,
Nilivyo kuelewa hizo rings zilizokatika haziko kwenye turbo na ninashangaa unavyoniambia gari lina nguvu, rings zinazosemwa ni za kwenye pistons kitu ambacho turbo haihusiki kabisa, anyway check na hao jamaa ila angalia wasikupige na uwe na bajeti kidogo maana wanaweza kukuambia wafunguwe cylinder head na oil sump, kwa hiyo andaa gaskets na seals
Still bado maelezo hayapo sawa, kama seals za inlet au outlet zimekufa haziwezi kumwagia ndani, turbine side au compressor side, oil inge leak out side turbo charger na sio ndani ya impeller au turbine, kama unaona oil/ fuel upande wa impeller basi tegemea matatizo kwenye exhaust valve either hazifungi