Nuga best bed

fredrick850

Member
Nov 21, 2015
12
2
Habari zenu wana JF,

Nauza kitanda cha tiba joto cha nuga best ambacho ni toleo la kisasa kabisa.

Kitanda hiki ni kipya kabisa na kimetengenezwa kwa madini Tourmanium ambayo hutoa tiba joto kwa kupitia uti wa mgongo na pia kinafanya massage ya mwili mzima.

Bei ni milioni tano tu kwa ambaye yupo serious tuwasiliane kwa namba 0653299934.
 
Kitanda kipya cha nuga best kinauzwa..bei milion 5
 

Attachments

  • 1455527194197.jpg
    1455527194197.jpg
    11.3 KB · Views: 41
Back
Top Bottom