Vitu vya ndani vinauzwa Mbeya/ home appliances for sale in Mbeya

IPILIMO

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,819
801
VIFAA VYA MATUMIZI YA NYUMBANI ( CHAKULA, NGUO, ELECTRONICS, FANICHA)

VINAUZWA VYOTE KWA UJUMLA SH 2,700,00.

WHASAP 0754734009

VIPO MBEYA FOREST
 
KAMA KWELI UKO SERIOUS NA KUUZA VITU WEKA TANGAZO LINALO JIELEZA VIZURI, SASA UNASEMA CHAKULA, UJAELEZEA UNA KILO NGAPI ZA UNGA AU MCHELE, WEKA ATA PICHA BASI.
 
Subiri majirani zako watakuja kununua, wabandikie hili tangazo watakugongea hodi kuja kuviona na kujua bei
 
Vyombo mbalimbali
Kabati LA nguo
Kabati la vyombo
Friji ndogo
TV nch 26:chogo flat, sumsung
Vitanda 2 na godoro futi 4*6 & 6*6
Subwoofer 1
Dressing table mninga
Sofa set; 3,1,1
Meza ya chakula na Viti 4
Meza ya jikoni
Viti plastiki 3
 
Mimi Ipilimo ndo nauza, nipo forest mpya, inawezekana huyo aliyesema yuko mwanjelwa ni mwana jf Anataka kuuliza kama nauza kwa rejareja. NAUZA VYOTE sio kimoja kimoja
 
Back
Top Bottom