Nauza laini za University Ofa za Voda, Tigo na Halotel

wamisako

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
917
871
Habar niona watu wengi mnalalamikia mb8 mimi na laini za University ofa za VODA, TIGO, NA HALOTEL ambazo utajiunga mahali popote, voda kwa week utapata dkk150, sms unlimited na 1Gb per week, hivyo kwenye tigo na halotel zimesajiliwa hiz lain kujiunga mahal popote. Bei ni sh. Elfu ishirini tu kwa laini moja. 20,000/=
 
Mkuu huoni ni hatari kuuza laini zilizosajiliwa kwa majina tofauti? ikatokea zmetumika kufanya uhalifu litakuwa tatizo kubwa sana.
 
Habar niona watu wengi mnalalamikia mb8 mimi na laini za University ofa za VODA, TIGO, NA HALOTEL ambazo utajiunga mahali popote, voda kwa week utapata dkk150, sms unlimited na 1Gb per week, hivyo kwenye tigo na halotel zimesajiliwa hiz lain kujiunga mahal popote. Bei ni sh. Elfu ishirini tu kwa laini moja. 20,000/=
Nawe ni jipu
 
Me nataka hiyo huduma uniwekee kwenye laini yangu ya voda.. ila kuniambia ninunue laini nyingne hii nliyonayo ntaiweka wapi...
 
Hivi ndio vitu ambavyo ni vya kitapeli. Kwanza kwa ufahamu wangu hivi vifurushi uwa ni ofa na muda wowote mitandao ya simu inaweza kuviondoa.
Na inakuwaje unauza line 20000 ikiwa imeunganishwa tayari. Ina maana unakaribisha matukio ya uhalifu kuchukua nafasi.
 
Back
Top Bottom