mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Habari ya wanajamvi na wasomaji wote kwa ujumla.
Nilikua na browse youtube jana na nikakutana na kitu ambacho kilikua very interesting kwenye macho yangu. Lilikua tangazo la sim Samsung Galaxy S5 (la muda kidogo).
Tangazo hili lilinifanya kurudi katika matangazo mengi ya hapa bongo, Kwa kweli wengi wetu hua muda wa matangazo ndo tunashika remote na kujaribu kutafuta channel zingine kuna nini. Nimegundua sababu ni kukosekana kwa ubunifu.
Kwa jinsi ninavoona Kampuni inayoandaa tangazo ni kama mwanaume anaekwenda kumtongoza mwanamke, Verse atakazotumia ndo Tangazo lenyewe, anaetongozwa ndo mtazamaji au msikizaji au msomaji, na majibu ni ufuatiliaji wa tangazo hilo.
Katika tangazo hili nililoona likiwa na dakika 23 nzima, nililazimika kulitazama lote kulingana na maudhui yake. sikuliona kama tangazo tena bali ilikua kama Muvi. Kumueka Mchezaji kama Messi akawa katika tangazo moja na Ronaldo alafu kuipatia movie contents nadhani ni sababu tosha ya kuweza kufikia malengo ya kutoa tangazo ilo.
Embu makampuni makubwa ya bongo yaanze hivi. Tengeneza tangazo ambalo mtu atashawishika kushare link au hata kulidownload na kumtumia mwenzake whatsapp.
Nisiongee sana mimi tangazo nililoliona hili hapa, nawewe tafadhali kama kuna mahali uliona tangazo zuri naomba share hapa ni kwa kuelimishana tuu.