Conrad84 Senior Member Feb 14, 2016 104 43 Feb 14, 2016 #1 Habari? Natafuta mwenye Toyota vitz new model ya kununua.
Preta JF-Expert Member Nov 28, 2009 24,320 18,838 Feb 14, 2016 #2 Conrad84 said: Habari? Natafuta mwenye virtz new model ya kununua. Click to expand... Virtz ni nini mkuu.....?....
Conrad84 said: Habari? Natafuta mwenye virtz new model ya kununua. Click to expand... Virtz ni nini mkuu.....?....
nelaizer JF-Expert Member Jan 3, 2015 818 283 Feb 14, 2016 #3 Preta said: Virtz ni nini mkuu.....?.... Click to expand... Ni pain killer flani ivi preta
Preta JF-Expert Member Nov 28, 2009 24,320 18,838 Feb 14, 2016 #4 nelaizer said: Ni pain killer flani ivi preta Click to expand... Ooh....ndio ile ya kutuliza mapunye......?....basi sawa.....
nelaizer said: Ni pain killer flani ivi preta Click to expand... Ooh....ndio ile ya kutuliza mapunye......?....basi sawa.....
Smokey D JF-Expert Member Jan 30, 2013 2,631 2,101 Feb 15, 2016 #6 Hivi kuna yard ya kuuzia magari jamiiforum...
Smokey D JF-Expert Member Jan 30, 2013 2,631 2,101 Feb 15, 2016 #7 Mkuu usiwe mvivu embu kagoogle hiyo Virtz alfu ugoogle tena vitz new model ukitaka mpya 0KM au used utapata
Mkuu usiwe mvivu embu kagoogle hiyo Virtz alfu ugoogle tena vitz new model ukitaka mpya 0KM au used utapata