Urgent: Tecno dealers in Dar

Planner

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
348
148
Habari wakuu,
Ninaomba mwenye ufahamu wa walipo agents (Maduka) wa kuuza simu za Tecno hapa Dar anijulishe.Pia ningependa kujua bei ya Phantom Z na Phantom 5 mpya ikoje (Jumla na rejareja).

Natanguliza shukrani!
 
Back
Top Bottom