Mashamba yanauzwa Mikese, Morogoro

Nkuba25

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
2,341
13,021
Habari wana Bodi

Kuna Mashamba yanauzwa Mikese, Morogoro.

Yapo 2 km kutoka barabara kuu.

Bei: Laki saba (700,000) kwa ekari 1.

Tuwasiliane kwenye PM na 0767 836 872

Asante
 
Kuweni makini kuna mashamba ambayo hayajaendelezwa mda mrefu serikali inayachukua sasa kaeni chonjo
 
Ekari 17 Wami Luhindo karibu na mto. Bei tsh 800,000 ekari moja. Serious buyer private mail.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom