Nahitaji gari. Bajeti yangu Tshs 5.5mil

uzeebusara

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
657
514
Habari za jioni
Wakuu nahitaji gari lakini bajeti yangu ni Tshs 5.5mil. Suala la namba ni kuanzia B na kuendelea na mwenye gari awe tayari kwa mimi kuja na fundi wangu kuikagua na kuhakiki na vilevile uhakiki wa vielelezo na vibali mbali mbali ni lazima iwapo nitaridhika nayo basi biashara yaweza kufanyika. Sijali saana kama gari ni 4 cylinder au 6 cylinder. Hivyo hata kama una Grand mark 2, suzuki escudo nk poa tu. Muhimu iwe gari. Waweza kunitumia picha za gari yako katika namba 0659 211 222. Makazi yangu ni Dar Es Salaam
Nawasilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom