Magari yanakodishwa Oyster bay, Dsm

jopss

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
292
448
Habari Wana Jamii ,

Ninakodisha magari (pichani) kwa mkataba wa miezi mitatu mitatu.
Kwa sasa namalizia mkataba na Kampuni moja mwishoni wa mwezi huu.
Magari yanapark Oystebay, Haile Selassie road na huwa yanachukuliwa asubuhi na kurudishwa saa 11 jioni. Jumatatu hadi Ijumaa,Jumamosi na Jumapili ni siku za service.
Kwa kuanzia yanapatikana 10,mwenye kuyahitaji napatikana kwa number zifuatazo.
0713531370 na 0629037727

Ahsanteni
 

Attachments

  • IMG-20160228-WA0003.jpg
    IMG-20160228-WA0003.jpg
    73.1 KB · Views: 27
  • IMG-20160228-WA0001.jpg
    IMG-20160228-WA0001.jpg
    81.2 KB · Views: 24
  • IMG-20160228-WA0002.jpg
    IMG-20160228-WA0002.jpg
    76.9 KB · Views: 26
Back
Top Bottom