Car4Sale Nahitaji Mark X

SANGA ONE

Senior Member
Jul 7, 2012
125
28
Habari za mchana wakubwa,

Moja kwa moja niende kwenye mada.Nahitaji toyota mark x namba yoyote ile hata A kikubwa iwe katika hali nzuri.Bajeti yangu 8million.

Asante na karibu kwa kuchangia kama huna neno please pita kimya kimya.
 
Back
Top Bottom