Hapana ndugu bei hiyo bado jitaidi ufike 12 millionDuh! 23M si mchezo, hii miradi ya mashirika itafanya tusinunue viwanja.
Chukua 7M kwa viwanja hivyo viwili 30x40 na 30 x 26.
Nicheki PM Kama Upo tayari
Madalali ukiwahusisha wanapandisha bei unachelewa kuuza bila sababu za msingi That's why siwataki ni vyangu mwenyewe nduguUhitaji dalali au we ni dalali Mkuu!
Ovaa
Hapana nduguvina hati mkuu