Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Salasala (5km kutoka bagamoyo rd)

rodgyporgy

Member
Feb 22, 2016
6
1
Kiwanja kinauzwa salasala kina ukubwa wa 28M*20M (560SQM) kiko umbali wa 5km kutoka bagamoyo road, umeme upo na kumejengeka tayari asking price 15M
 
5 KM kutoka Bagamoyo Road ni Umbali wa kutoka Posta mpaka Victoria, au Posta mpaka Mwembe Chai au Posta mpaka Ufundi!!! Hapakuwa na haja ya kutaja umbali wa kutoka Main Road kama unajua Maana ya Marketing. U have to mention only features that will add value, only Salasala ingetosha.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Kwann ununue eneo ambalo hujui likoje kwenye ramani ya mipango miji? Je unamiliki eneo ambalo hujui kwenye mchoro wa mipango miji (Town planning drawing-TP) limetengwa kwa shughuli gani?
Karibu tukuchukulie details za eneo lako na ujijue eneo lako liko kwa ajili ya matumizi gani. Usije kununua au kujenga kisha baadae unaambiwa ni eneo la wazi au ni bondeni nk.
NiPM kama unahitaji huduma hii.
Asanteni sana.
 
hahaha tatizo lenu watu mnaojifanya mnajua marketing mnahisi uongo/kuficha ukweli ndio njia ya kupata mteja mnakosea sana mteja anatakiwa afahamu all basic info ili aweze kufanya maamuzi sahihi ndio nyie mnamuambia mtu nyumba ipo knyama unamtembeza mpaka kwa mtogole,am not a marketing person am just selling a plot ukiona kwako ni mbali basi mukidee
 
mkuu weka list ya vitu unavyofanya vizuri ili tujue tunapata huduma zipi kwako
 
hahaha tatizo lenu watu mnaojifanya mnajua marketing mnahisi uongo/kuficha ukweli ndio njia ya kupata mteja mnakosea sana mteja anatakiwa afahamu all basic info ili aweze kufanya maamuzi sahihi ndio nyie mnamuambia mtu nyumba ipo knyama unamtembeza mpaka kwa mtogole,am not a marketing person am just selling a plot ukiona kwako ni mbali basi mukidee

Haya Mzee! Biashara njema ila hata tangazo lako ni sehemu ya Marketing. Lengo langu sio udanganye bali uweke features ambazo ni relevant, basi tuwekee umbali kutoka soko la Kariakoo mpaka kwny kiwanja Chako!
 
Kwann ununue eneo ambalo hujui likoje kwenye ramani ya mipango miji? Je unamiliki eneo ambalo hujui kwenye mchoro wa mipango miji (Town planning drawing-TP) limetengwa kwa shughuli gani?
Karibu tukuchukulie details za eneo lako na ujijue eneo lako liko kwa ajili ya matumizi gani. Usije kununua au kujenga kisha baadae unaambiwa ni eneo la wazi au ni bondeni nk.
NiPM kama unahitaji huduma hii.
Asanteni sana.
Asante mkuu.... tutakutafuta

Anza na hili la mshikaji kama advertise
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom