Till ya M-Pesa

Huwa natamani sana kuwekeza na huko kwny m pesa lakini bado cjajua kwa undani faida yake inapatikanaje.......nisaidie kwa hilo kwanza kabla hatujaendelea na mambo mengine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom