kijana13 JF-Expert Member Sep 24, 2013 1,981 3,626 Apr 7, 2016 #1 Habarini wakuu, nahitaji deep freezer iliyokatika hali nzuri,sio iliyofunguliwa funguliwa vifaa na Iwe ndogo bajeti yangu ni 150,000 cash. Niko dar
Habarini wakuu, nahitaji deep freezer iliyokatika hali nzuri,sio iliyofunguliwa funguliwa vifaa na Iwe ndogo bajeti yangu ni 150,000 cash. Niko dar
Mateja M.G Yango JF-Expert Member Feb 17, 2013 613 1,093 Apr 8, 2016 #2 Unahitaji deep freezer kwa kilo na nusu?......?