Nahitaji ng'ombe wa maziwa na chotara

Nahitaji ng'ombe wa maziwa na chotara

wise-comedian

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
3,290
Reaction score
3,946
Ndugu zangu niko morogoro mjini,nahitaji ng'ombe jike wa kisasa au chotara,awe anakaribia kuweza kupandishwa....ukinitajia na bei itakuwa vizur sn,...maoni na ushauri juu ya mada yanakaribshwa. Asante kwa kutumia muda wako kusoma hii.
 
mkuu hebu nenda nanenane pale
 
Wadau, nilidhani jibu kamiki lingepatikana kwa hoja hii. Ng'ombe wanaofaa kwa maziwa wanapatikana wapi? Na mimi nahitaji niko DSM.
 
Ndugu zangu niko morogoro mjini,nahitaji ng'ombe jike wa kisasa au chotara,awe anakaribia kuweza kupandishwa....ukinitajia na bei itakuwa vizur sn,...maoni na ushauri juu ya mada yanakaribshwa. Asante kwa kutumia muda wako kusoma hii.

Mtwangie huyu 0786051982, yupo Moro hapo, mwambie Malila kanipa simu hiyo. Mimi alishaniunganishie ng`ombe.
 
Wadau, nilidhani jibu kamiki lingepatikana kwa hoja hii. Ng'ombe wanaofaa kwa maziwa wanapatikana wapi? Na mimi nahitaji niko DSM.

Je waweza kuwasafirisha toka Moro? Iringa kwa ASAS wapo, bei ni Tsh 1.5M na usafiri juu yako.
 
Ninao ngo'mbe wa maziwa nainauza ni nipo DSM, mbezi kwa msuguri. Karibu sana.
 
Je waweza kuwasafirisha toka Moro? Iringa kwa ASAS wapo, bei ni Tsh 1.5M na usafiri juu yako.

Mkuu, kama wanalishwa vizuri wanaweza kukamuliwa lita ngapi kwa siku kwa ng'ombe 1?
 
Ukiwa wapi? Ukiwa dar au mikoani kama Iringa,njombe,mby na Arusha au moshi? pia kwa aina gani ya ng`ombe? Pure au chotara?
 
Nikiwa Dar, nifafanulie hizo aina zote Pure na Chotara.
 
Back
Top Bottom