Brodre
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 2,585
- 1,771
Habari wasoamji wangu wa nguvu. Website ya M and K PUBLISHERS sasa ipo hewani na tayari kwa kutoa huduma na burudani kwa wasomaji wetu.(Story Za Eddy/Story Za Kway)
*
*
Tumeamua kutengeneza website hii kwa sababau kuu nee.
1. KUEPUKANA NA WIZI WA MITANDAO JUU YA STORI ZETU
@@Hapa tumeweza kuzuia ile mbinu ya waizi COPY and PEST huku wengine wakidiriki kujifanya eti wao ndio waandishi. Hili swala tulilitazama na kuona ni jinsi gani mijizi hiyo inavyo shusha thamani ya kazi zetu tukiwa kama waandhishi chipukizi.
2. KUZINGATIA UMRI WA WASOMAJI WETU.
@@Vitu ambayo tunaviandika katika hadhithi zetu ni vitu ambavyo vipo na vinaendelea kuwepo siku hadi siku.Mf Aaaiisiii U kill me. So kwa stori kama hii kuwepo facebook, inafanya hadi watoto ambao hawajatimiza miaka 18+ kuzisoma kwa mana hakuna kizuizi hapa Facebook
3. KUKUZA UCHUMI WA KAZI ZETU
@@Nimeweza kudumu kwenye uandishi katika Facebook sasa ni mwaka wa tatu. Hii ni sehemu ambayo ni FREE, siwezi kumchaji mtu kiasi chochote cha pesa kuweza kusoma stori zangu. Ila katika website hii kuna kijimchango kidogo sana ambacho kila mtanzania wa maisha ya chini/Kati na Juu anaweza kuchangia hiyo ni kama kifurushi cha mwezi mzima. Na itatufanya waandishi tuweze kuipenda kazi yetu na kazi ya mikono yetu
4. KUZALISHA AJIRA KWA WAANDISHI WENGINE/NA WATU WENGINE
@@Ajira hizi zitaweza kutolewa siku chache zijazo mbeleni. Tumetazama ni kwanini tusiajiri vijana wengine kupitia vipaji vyetu vya uandishi, wakati tunatambua kabisa ugumu na hali ya maisha ya watanzania. Hatuhitaji kuwa wachoyo, kwa kile kidogo tutakacho kipata basi hata wale tulio waajiri tutawagawia
HIZI NDIZO HADITHI ZITAKAZO PATIKANA KWENYE WEBSITE YETU
01. AIISSSSS U KILL ME(EDDAZARIA G.MSULWA)
02. MCHACHUKO(EMANUEL F.KWAY)
03. MY MOMMY'S FRIEND(EDDAZARIA G.MSULWA)
04. SLAVE SEX(EMMANUEL F.KWAY)
05. AM NOT A DOCTOR(EDDAZARIA G.MSULWA)
06. ON MY WEDDING DAY(EMMANUEL F.KWA)
07. MY WIFE HAS ALREADY KILL ME (EDDAZARIA MSULWA)
08. BINJOUR(EMMANUEL F.KWAY)
Stori zote nane zitakwenda kuanza kuanzia leo na wasomaji wote wawe kuanzia miaka 18+ Kwani maneno yote hayatokuwa na kuzuizi pale tunapo yaandika.
www.mkpub.info www.mkpub.info www.mkpub.info www.mkpub.info www.mkpub.info www.mkpub.info www.mkpub.info www.mkpub.info