Product hiyo hiyo inakua na bei tofauti labda kutokana na production output ndo maana wanaandika price ina range kutoka kiasi fulani mpaka fulani. Kuna button ya chat hapo unaweza kuuliza bei kutokana na specific requirements zako. Pia kuna namba za simu za suppliers karibia wote wapo whatsapp. Tembelea aliexpress.com ni alibaba hao hao ila wao waneweka specific price
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.