Natafuta wauzaji wa iphone

Rudbway

JF-Expert Member
Jul 14, 2014
294
157
Natumai ni wazima,
Wakuu naulizia duka la simu za iphone kwa hapa Dar, kwa sababu kuna wauzaji wengine "unaponunua simu kwao hujihisi comfortable" kwa mfano,
Kuna hawa wauzaj wa iphone kwa bei nafuu wanajiita Kili.la website yao www.kili.la.com Na wenyewe ni wauzaj halali wa bidhaa hizi? Na wengine ni nani wanapatikana wapi?
 
Back
Top Bottom