Uwezo wake haina tofauti na Samsung Note 4. Ni nzuri kwa ubora na speed yake ni ya kasi. Mimi ninaitumia. Kama unataka kuiona tuwasiliane inbox niko Dar.Kiukweli sijawahi kusikia hiyo simu japo inaonekana nzuri n ina kidhi vigezo. Hiyo uliyotoa bei ni ya kwako unauza au unazo za kuuza; vipi wewe umeshaitumia? unaweza kuilinganisha ni simu gani iliyopo sokoni?