Nahitaji kiwanja Igoma Mwanza

Nahitaji kiwanja Igoma Mwanza

julius junior

Member
Joined
May 22, 2014
Posts
97
Reaction score
35
Nahitaji kiwanja Igoma Mwanza, bajeti 1.5 hadi 2 Million(s), Mwenye nacho tuwasiliane tafadhali
 
Igoma sehemu gani ? Kama ni kishiri nikuunganishe na muuzaji uongee nae

Kama Igoma kati au hata shamaliwa kwa bajeti hiyo sio rahisi kupata
 
Igoma kati na Shamaliwa wapi kumechangamka sana na karibu na mjini?na pia maeneo hayo viwanja n sh ngap?
 
mkuu Igoma kati ndo center ya Igoma pia ni karibu na barabara kuu ya Mwanza - Musoma kumechangamka sana huko hata viwanja hakuna labda ununue nyumba

Shamaliwa ni mitaa ya mbele kidogo patulivu lakini kumejaa napo viwanja unaweza kupata ila ni ghali sana na vimepimwa

na huko kishiri ndio kunajengwa sana kwa sasa maeneo mengi bado ni mashamba hivyo unaweza kukatiwa saizi unayotaka kwa maelewano bado hakujapimwa
 
Nashukuru kwa hii taarifa
 
Kiwanja kinauzwa maeneo ya airport ilemela mwanza. Ukubwa sqm 266. Bei 2ml. 0753101293
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom