mbagalakuu
Member
- Dec 2, 2014
- 5
- 1
Nyumba Ina vyumba vitatu vya kulala,kimoja ni master, sebule, jiko store, baraza mbili, sliding alluminium windows, gypsum, tiles, system ya maji moto na baridi unafanya kazi Eneo ni Moshi mjini karibu na YMCA miter 700 to city center.