Kiwanja Kinauzwa

Kiwanja Kinauzwa

Mungu Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
1,474
Reaction score
1,088
Nauza kiwanja eneo la Busenga, Cocacola Mwanza; eneo lina miguu 20 kwa 37, tayari lina msingi wa nyumba ya kisasa. For serious buyers only. PM
 
Shamba heka moja Bagamoyo maeneo ya Kiromo Buma -Tsh 5000000/ inatakiwa haraka ndo mana bei imepunguzwa pana mipingo na kisima cha maji pia maji ya ruvu bomba yapo mita 30
 
Kiromo Buma iko wapi?? Kabla au baada ya Bagamoyo kama unatoka Dar??
 
Shamba heka moja Bagamoyo maeneo ya Kiromo Buma -Tsh 5000000/ inatakiwa haraka ndo mana bei imepunguzwa pana mipingo na kisima cha maji pia maji ya ruvu bomba yapo mita 30

Ebwana hapatuami maji?Weka contact zako mkubwa!
 
hapo sijaelewa shamba linauzwa au linatakiwa kununuliwa?
 
Ebwana hapatuami maji?Weka contact zako mkubwa!

hapatuami maji ni level pana mipingo mingi zaidi ya 30 midogo nimechimba kisima nimechimba na mchanga upo ila kuna mambo yameingilia plan zangu nalazimika sikupenda kupatoa .06869094114
 
hapatuami maji ni level pana mipingo mingi zaidi ya 30 midogo nimechimba kisima nimechimba na mchanga upo ila kuna mambo yameingilia plan zangu nalazimika sikupenda kupatoa .06869094114

Mkuu, tarakimu zimezıdi ziko 7, fanya marekebisho.
 
Kiwanja kinauzwa maeneo ya airport ilemela mwanza. Ukubwa sqm 266. Bei 2ml. 0753101293
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom