Eneo linauzwa kiseke b mMwanza

Eneo linauzwa kiseke b mMwanza

kichenchele

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2010
Posts
539
Reaction score
177
Wadau poleni na majukumu naomba kuwapa taarifa kwa walioko naeneo ya Mwanza kuna eneo linauzwa ambalo lina viwanja 4 vyenye ukubwa wa 15x30 sq meters maeneo ya KISEKE B WILAYA YA ILEMELA. Gari linafika mpaka kwenye hilo eneo na umeme upo. Linauzwa lote bei ya kuanzia ni 25 milioni au kama utahitaji kununua kiwanja kimoja chenye ukubwa huo wa 15x30. pia sawa. kwa waliotayari wapige namba hizi. 0717008685/.0757849188. Pia naomba dalali aliyeko mwanza na anayeweza kunisaidia kutafuta mteja.
 
Kiwanja kinauzwa maeneo ya airport ilemela mwanza. Ukubwa sqm 266. Bei 2ml. 0753101293
 
Back
Top Bottom