Nauza kiwanja, kipo Nyegezi

Nauza kiwanja, kipo Nyegezi

bigmukolo

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
602
Reaction score
2,241
Jamani wa Tz nauza kiwanja kipo Nyegezi jijini Mwanza.

Mwenye uhitaji anicall kwa 0763_002227

 
Weka maelezo sahihi kiwanja cha ukubwa gani je kina hati au eneo halijapimwa pia kipo mlimani au sehemu tambarare pia waweza kuweka picha. Hii ni marketing sio bla bla unaweka kitu na maelezo kamili watu wanavutiwa wanakutafuta. Tuamke watanzania
 
Kiwanja kinauzwa maeneo ya airport ilemela mwanza. Ukubwa sqm 266. Bei 2ml. 0753101293
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom