Kama upo serious unatoa uhalisia wa eneo lake! Kusema Buhongwa tu haitoshi, maana ni kubwa. Vilevile Mwanza ni mji wa mawe na eneo laweza kuwa hata 50x50 ila robo 3 mlima wa mawe. Toa maelezo vizuri utapata wateja serious. Maana ukificha watu wataona wewe ni dalali au tapeli