Wadau ninauza decoder ya dstv na dish lake kwa tsh 120,000. Kila kitu kipo vizur nmetumia mwaka mmoja tu. Remote,decoder vinafanya kaz vizuri.
Mi nipo tabata baracuda.
HEDIFONI ZA BOOM J8
Muundo wake
Hedifoni za Boom J8 zimeundwa kwa midundo ya viwango vya juu yaani 'advanced mega bass', muundo huu unaenda sambamba na ubora wa mawimbi ya sauti iliyochujwa...
Natafuta mfugaji wa kuku anayeuza mayai ya kisasa kuanzia treyi 10, bei shillingi 6,000 kwa treyi. Muuzaji awe dodoma, kama unayo nicheki 0714112838. Thanks in advance
Jipatie offer ya kumiliki mtandao wako wa kijamii kama facebook au jamiiforums kwa gharama ya TZS 150,000/-
Unapata Design
Hosting ya Mwaka Mmoja
Domain name
Tuwasiliane hapa 0679732975...
Nimeishiwa mafuta ya safi cooker. Wakala wangu wa Mbagala kila nikimpigia ananiambia baada ya wiki 2 mafuta yatakuwa yamefika. Naona ni mwez umepita sasa, sion hata dalili.
Naomba kama waweza...
Nyumba inauzwa ipo chang'ombe usalama ipo barabarani kabisa,ni eneo safi sana kwakuweka godown,yard ya magari,Kama wengine pembeni walivo fanya.bei ni milioni 550.Kama upo serious nichek 0716385824
Habari zenu wadau nina diamond buyer mwenye nazo au anafaham mtu yoyote ambaye anauza diamonds kwa sifa zifuatazo
Goodguality
Kuanzia 4 carats japo zngne zinapokelewa pia
Goodprice
Good...
Kiwanja kina ukubwa wa square mita 800 pia kina nyumba iliyoishia kweny lenta kipo mita 600 kutoka barabara ya lami
Bei ;35 mil mazungumzo yapo kdgo
Contact;0656698232
Habari wana bodi
Nahitaji mtu wa uhakika ambaye atakuwa ananiletea kuku wa kienyeji kutoka Singida.
Awe na uwezo wa kuleta kuku wa kienyeji 80 - 100 kwa wiki.
Mtu ambaye yupo Singida na anaweza...
Sofa ya watu 6 Mpya inauzwa bei nzuri, ni new model, bei ni 800,000/= maongezi yapo, imetumika miezi miwili tangu inunuliwe, anayeuza anahama
kikazi hawezi safiri nayo kupunguza gharama.
Iko...
pata bati za IT5,za mikunjo gauge28 na 30 zenye ubora wa hali ya juu,upana wa 107cm,98cm kwa bei ya kiwandani,unapelekwa bure,pia utapata fursa ya kupima ubora wa rangi,ubora wa bati,na ugumu wa...
Habari,ninahitaji dalali aliye na uzoefu mkubwa na kazi yake lakini pia awe mtu mwenye connections nyingi. Nina nyumba ninazohitaji kuziuza haraka.
Ni deal kubwa so please naomba nitafutwe na...
Nyumba tatu za kupangisha zinauzwa.
Nyumba ya kwanza ina apartments 7,kila apartment moja ikiwa na chumba na sebule yake.
Ya pili ina vyumba vitano na sebule moja ya kushare.
Ya tatu ina...
Kiwanja kipo buyun chanika kna ukubwa wa square mita 8637 hatimilik ipo umbal kutoka barabara ya lam n mitaa 700
Bei: 180mil nafas ya mazungumzo ipo kwa muhtaj wa kwel