Mkuu ungetaja ni aina gani ya samsung manake kuna galaxy s2, s3, s4 note1, note2 etc... Tutajie ni Samsung ipi. Nadhan aliyeuliza hapo juu hajakosea labda kosa lake kuuliza sababu za kuiuza. Ijapokuwa kwa wauzaji wengine hilo nalo sio kosa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.