Ahlan wa sahlan Mabibi na Mabwana, ningependa kuwatangazia wale wenye uhitaji wa kununua viwanja ni kwamba nina hekari zipatazo 9 Goba Njia Nne, kila hekari moja nauza kwa milioni 20 za...
Viwanja Vipya NHC Kigamboni Mwongozo Dongwe palm. square meter 750 adi 1600. Kilometer 17 toka ferry, nani mita 100 toka NHC housing pia ni mita 200 toka baharini. Bei ni 22,000 kwa sqm...
Salaam wadau...nauza TV aina ya Samsung 51 inches ambayo ina HDMI ports 2 na USB ports 2..Flat panel.Nimenunua kubwa zaidi so nauza hii.Bei 1m.Tv ipo Dar.karibuni na mawasiliano ni 0689900000
Hii ni site ambayo inampa uwezo mwanachuo kuuza au kununua vitu mbalimbali kama simu, radio, laptop, nguo nk mfan; unataka kuuza laptop yako unaingia kwenye site www.choushopping.com afu unaenda...
Viwanja/plots
a) Mbande Chamazi Mbagala - DSM 40ft X 50ft = 5,000,000/=
b) Mbondole Ilala - DSM 40ft X 50ft = 3,000,000/=
c) Tambani Mkuranga 50ft x 50 ft - Pwani = 3,000,000/=
d) Msongola Ilala...
Naomba msaada wadau kwa yeyote mwenye mayai ya kuku wa kienyeji pure tuwasiliane au anayefahamu mahali yanapopatikana kwa wingi anifahamishe iwe ni Dar au mikoa ya jirani.
Habarini wakuu, Nahitaji mkopo mdogo wa dharura wa sh Laki 5 tu kwa riba ya 25 %. Niko dar Nina biashara active, niko Tayari kusainishana popote utakapotaka na dhamana nazoweka Ninazo.
nina vifaranga wa cku 4 chotara wa malawi nauza. kwa anayetaka kufuga nione sasa wakati ndio huu. pia napokea oda ya vifaranga aina mbalimbali kwa bei nafuu. kwa yeyote mwenye uhitaji 0658100001
Nauza simu tajwa hapo.
Tecno camon c8 kwa bei ya 200,000/= tu imetumika mwezi mmoja bado mpya kabisa.
Sifa zake-
Storage-GB16
CAMERA-5MP MBELE,13MP NYUMA INA FLASHLIGHT MBELE NA NYUMA
RAM-1GB...
Tunauza mayai ya kuku wa kienyeji?(sio chotara) kutoka Iringa vijijini, Tray moja ni Tsh. 15000
Mayai yanapatikana siku za JUMAPILI NA JUMATANO Dar es salaam
Mawasiliano: 0652 962908
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.