Kohiba zingine from Cuba zinapatikana

Gajungi

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
257
83
Habari za hapa.

Muda si mrefu nitapokea sigara za aina mbalimali toka Cuba. Wapenzi wa hii kitu nijulisheni kama mnahitaji. Zitakuwepo Kohiba,Romeo and Julieta n.k

Pia anayejua wapi nitaweza kuziuza anijulishe

Asanteni.
 
Duuuh watu wamesha changamkia fursa yaani kuruhusiwa kuzuru na Castro na cruise ship lenu, umemebeba hayo madude,wenzako walikuwa busy kupiga picha wewe unachagua tumbaku.
 
Duuuh watu wamesha changamkia fursa yaani kuruhusiwa kuzuru na Castro na cruise ship lenu, umemebeba hayo madude,wenzako walikuwa busy kupiga picha wewe unachagua tumbaku.

Hapana mkuu,mbona Cuba ni kama home tu kwangu.
 
Back
Top Bottom