magogo ya mkaa haya hapa

Nyakarungu

JF-Expert Member
May 1, 2011
472
377
Wakuu nina maeneo ninamiliki mlandizi pwani nahitaji kuyasafisha nianze kuyatumia, lakini yana miti ya magogo ya mkaa mengi sana ikiwa utafanikiwa kuyatengeneza mkaa unaweza kuvuna gunia sio chini ya gunia 300.
Nahitaji mpiganaji aliyetayari tukalipie ushuru kwenye mamlaka husika kisha tupige hii kazi kuliko kuyaangusha tu kisha yaoze bure, nahitaji kulima hayo maeneo yote kuanzia october,
So karibu 0754459572
 
Back
Top Bottom