Offer ya Ramadhani: EFD machines650,000/=

bolsto

Member
Oct 20, 2014
36
5
Bolsto Solutions Ltd, approved supplier wa EFD machines, tunatoa offer KWA MUDA MFUPI KATIKA KIPINDI HIKI CHA RAMADHANI, njoo ujipatie mashine yako kwa bei nzuri na kwa haraka bila usumbufu. Wahi kabla hujapitwa. Ni kwa muda na idadi maalum.

Tupo kariakoo, mtaa wa Lindi na Livingstone, karibuni sana.

Tel: 0658 555 903 or 0758 717754
 
Mkuu hii ni offer kwa TRA au kwa walipa kodi??

Maana Magu aliagiza TRA wagawe bure kwa kuwa ni tools zao za kuwawezesha kukusanya mapato
 
acha kutumia neno ramadhan vibaya hizo mashine TRA wameambiwa wagawe bure sasa wewe unakuja kusema ofer kaa Na mzigo wako wananchi kupata hizi mashine wasiliana Na TRA kwa maelezo zaidi najua maagizo ya rais yatatekelezwa hawa ndio wale wanaogeuza watanzania wenzao mitaji
 
kauli usiziamini mkuu zilitolewa kauli mbalimbali lakini utekelezaji hakuna
 
Back
Top Bottom