Heka 600 zinauzwa Makambako Iringa

Iwapo mtu anataka kaa kumi hivi na zaid lakn co zote, kila moja utauzaje??
Migogoro je ipo?
Hati je ipo?
Panafikika kwa uraisi?
Kumbuka kaa tutafanya biashara issue yote itakuwa chini ya mwana sheria na ndo ataandaa mkataba kwa kushilikiana na serikali ya kijiji na kata pia.
 
Hapana mgogoro wowote. Heca 600 zote zipo kwenye hati miliki moja, plus ni urithi kutoka kwa Mzee wetu ambaye ni marehemu
 
Hapana mgogoro wowote. Heca 600 zote zipo kwenye hati miliki moja, plus ni urithi kutoka kwa Mzee wetu ambaye ni marehemu
Sawa, hujajibi maswali mawili.
Miundombinu ya kulifikia ilo shamba ikoje?
Je unaweza uza heka kumi?
Na kila heka moja bei gan?
 
Back
Top Bottom