Natafuta eneo la kufuga kuku Dar!

NGIDO JACKSON

Member
Jun 17, 2016
7
0
Nakaribia kumaliza masomo yangu sasa na nina wazo la kufuga kuku wa Mayai hapa Dar es Salaam
Mtaji wangu ni millioni 1 natafuta eneo na kuku wa kuanzia!!
Naomba ushauri na Maelekezo
Ushauri namba
0715730140
 
Huu ni ushauri,
Pesa ulionayo si kidogo na si nyingi kutegemeana na ukubwa wa mradi wako lakini nje ya ujenzi wa mabanda.
Kimsingi 1m itakuwezesha kua na mradi mdogo sana wa kuku.Kwani utahitaji ununue vifaranga lakini pia ubakiwe na pesa kwaajili ya chakula na madawa.
Ukumbuke mradi wako utakua tegemezi kwa takribani miezi mitano ndipo uanze kuokota mayai.
Nashauri fanya hesabu vizuri ili usije uka fail.Kumbuka tatizo linaloikumba miradi mingi sio ukosefu ama uhaba wa mitaji pekee bali tatizo linaweza kua mtaji hauendani na mradi.
Milioni inaweza isiwe viable kwa mradi wa ufugaji kuku lakini unaweza ukawa viable kwa biashara ya chips,nafaka,nk.
Kila la heri!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom