Mnada wa magari ya ubalozi

Kanye2016

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
2,613
2,628
I quote
"Ubalozi wa Uingereza, Sweden na Switzerland unapenda kukujulisha mnada wa Magari, Furniture za nyumbani pamoja na Ofisini. Universal Auction Centre kwa idhini tuliyopewa tutauza kwa mnada Magari pamoja na Furniture jumamosi ya wiki hii 18.06.16 kuanzia saa 4 asubuhi, Golden Resort, Sinza, jirani na Lion Hotel." Nimepewa mtonyo huo mnada unafanyika Leo
 
Mbona taarifa umeichelewesha sana. Kwa walio karibu nnada mwema
 
Back
Top Bottom