Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Naomba kwa wana Jf, msaada wa wapi naweza kununua kifaa hiki na bei yake. " Heat press for tshirt Priting"
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Maziwa fresh na mtindi yanapatikana hayana maji kabisa ni mazuri sana lita moja ya maziwa fresh ni tsh 2000 na mtindi ni tsh 2500 1. Lita tano ni tsh 12500 kwa maziwa ya mtindi 2.Lita tano ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kabati la vyombo from japan limetengenezwa kisasa zaid bei maelewano. Eheeeee for sale jombaee kaz kwako.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tunachimba visima bei ni TZS 70,000/= kwa mita moja na hii bei ni kwa wale waliopo Dar es salaam ila kama upo nje ya Dar es salaam tunachimba Laki moja kwa mita moja. Tunafunga Pampu pamoja na...
0 Reactions
63 Replies
8K Views
Wanajamvi habarini za leo? Naulizia mafundi wazuri wa AC maeneo ya Kimara mpaka Mbezi Mwisho. Mwenye ufahamu naomba atupe mawasiliano hapa. Akhsante nawakilisha Mdau
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wanajf, Kwa wale wenye tatizo la uhaba wa maji na wamechoshwa na kero hiyo, nakukutanisha na wataalamu na mafundi waliobobea ktk uchimbaji visima vya aina zote,kufunga pump na kufanya...
0 Reactions
0 Replies
646 Views
NYUMBA IKIWA NA KIWANJA CHAKE UKUBWA 42 KWA 35 INA CHUMBA CHA KULALA,JIKO,CHOO,SEBULE imepauliwa nusu, kuna migomba, maji yapo jirani kiwanja hakijapimwa bt kuna makaz ya watu,ipo mpakan mwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajf, Kwa wale ndugu zangu wenye shida ya wafanyakazi wa ndani(wadada wa kazi) umri miaka 18_22. Wenye uzoefu,waaminifu na wenye tabia nzuri wanapatikana(utatafutiwa anayekufaa). N.B...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nauza simu aina YA boom j8 imetumika wiki 2...unapata kila kitu charge,boom headphones,charge....contact 0785 503 722(whatsapp&SMS only...plz usipige)
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Heshima mbele wana JF, Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa maada katika jukwaa hili,Kwa sasa nimeona vyema kurudi jamvini kueleza maendeleo ya project yangu na inaweza kusaidi kupata msaada mkubwa wa...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Mambo vp mazee. Mimi ni mfugaji mdogo wa nguruwe. Sasa ninao nguruwe waliofikia umri wa kupandishwa au kuliwa. Ninawauza. Na wapo mbeya. Kwa anaehitaji Karibu anipm.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nauza huawei y300,,ina dual camera na flash light ya kupga pcha nzuri sana,haina scratch wala crack,internal memory4gb, android versn 4.1.1 ni original waweza ithbsha kwa TCRA, nashndwa weka pcha...
0 Reactions
1 Replies
807 Views
*JIMZ JUNE'S SPECIAL* Mobile Phones 1. Samsung S7 Edge 32GB-1.65M 2. Samsung J7-560,000 3. Samsung J2-320,000 4. Samsung J1 Ace-229,000 5. Samsung J1 mini-210,000 6. Samsung Keystone-45,000...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Imetumika kwa miezi 4 bei ni laki 6 inaonyesha baadhi ya local channels direct bila kingamuzi kwa mawasiliano ni pm Hdmi ports 2 Usb port 1...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hellow Jf , nina mchele jumla ya tani 15 ninauza kwa bei ya sh 1500 kwa kilo , nakaribisha wateja wa jumla, shule, chuo n.k , atakayenunua kuanzia tani 5 nakuletea mkoa wowote ulipo, contacts...
0 Reactions
1 Replies
991 Views
Kwa yeyote mwenye ufahamu wa bei ya chalk mould naomba anifahamishe. Lkn pia nitafurahi kama utanijia maduka na mitaa zinapo uzwa. Natanguliza shukurani.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta watu watatu wa kuanzisha nao biashara ya kutengeneza wine kutokana na rosela na matikiti maji. If upo interested tuwasiliane, mm ni mtaalamu wa Chakula kutoka Sokoine University of...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Tunauza soft copy na hard copy ya kitabu cha RICH DAD POOR DAD cha Robert Kiyosak kwa bei nafuu..Hard copy tunauza 9.000/-Tshs na soft copy tunauza 3,000/-Tshs...TUPIGIE 0624-079887
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kwa yule anayehitaji ofisi Kijitonyama. Ina hali nzuri na kiyoyozi inakodishwa kwa bei nafuu. Kwa maelezo zaidi Nitafute kwa namba hii 0719040659.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tovuti ya Tanzapages inawakaribisha wadau na wajasiliamali kusajili biashara zao bure mtandaoni kwa kutumia tovuti hii www.tanzapages.co.tz. Wafanyabiashara wadogo na wakubwa, wanaweza kuitumia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom