benbry
Senior Member
- Apr 3, 2012
- 183
- 54
Kipo barabara ya Goba, ukitokea mbezi ya kimara ni 2.5km na kutoka barabara ya lami ni mita kama 150. Barabara ni lami.
Ukubwa ni 22m kwa 22m,
kina banda kwa nyuma kama servant quarter flanan ambalo lina vyumba 3, limeishia kwenye lenta.
Bei ni million 11
Umeme na maji yapo na huduma zote muhimu za kijamii zipo na ni mtaa watu wanaishi.
Kwa mawasiliano 0713322856
Picha nitaupload kesho TCRA wakishatulia.
Haya kazi kwako!