House4Rent Nyumba ya vyumba 2 self inapangishwa

Pastor steven mdoe

Senior Member
Jan 13, 2016
113
34
Ipo ununio ya pili kutoka barabara ya ununio kwenda Boko, Nyumba zipo mbili kwenye Eneo moja na kila moja ina vyumba 2 vyote ni self, ina seble jiko na public toilet.
Kodi yake kwa mwezi ni sh 550,000/=
Kwa Maelezo zaidi wasiliana nami kwa 0756060183
 

Attachments

  • 1467397276000.jpg
    1467397276000.jpg
    79.7 KB · Views: 281
  • 1467397292048.jpg
    1467397292048.jpg
    80.9 KB · Views: 122
Hii garama ya kodi pamoja na VAT haviendani na ukubwa wa nyumba na maeneo husika...Hiyo bei ni ya labda Mikocheni au Kijitonyama lakini kwa ununio labda ufanye 250,000 per month VAT inclusive


Sema nini ndg Yangu wala usipate shida wewe unaweza ona kijitonyama ni bora zaidi kwako ila wengine wanaona ununio ni bora zaidi kwao kwahyo tunatofautiana sana!
Me nakushauri usikalili maisha
 
Tatizo sio bei tatizo nyumba yenyewe au zenyewe hazina hadhi hiyo ya bei uliyotaja...wewe kwa hilo dongo hapo chini ukampangishe mtu laki tano? Nyumba haina perving? Nyumba ina vyumba vi 2? Mvua ikinyeesha hapo lazima ukodi mtumbwi ili upate kwenda kazini. Kiukweli haina hadhi ya bei uliyotaja
 
Nyumba mbona bado zinajengwa?sioni tank za maji,kuna heater?store?room ya zaidi nje?maana laki Yano na unsure sio heal ndogo kwa hyo location,kwa Jodi hyo hyo napata nyumba mbezi au sinza nzuri zaidi
 
Kama ww ni dalali umeweka chako cha juuu hutopta mteja......weka laki 300 utapata.
 
Tamaa mbaya sana,hicho kinyumba ndo nikupe 550?you cant be serous,au unatafuta hela ya kumalizia hivyo vibanda?hebu njoo huku mbez uone nyumb na bei zake ndo utajua hapo unatakiwa sh ngap
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom