Spacio inauzwa

MAGARI7

JF-Expert Member
Mar 5, 2016
2,401
1,303
Make : TOYOTA

Model : Spacio

Mileage : 162000km

Engine size : 1500cc

Fuel : Gasoline/Petrol

Drive : two wheels drive (2WD)

Steering : Right

Transmission : Automatic

Ext. Color : white

Manufactured year/month : 2003/6

Door : 5

Seat : 5

FEATURES

Airbag * Rear Spoiler * FOG HID * Power Steering * Power windows *

STEREO

2DIN-SIZE * CD RADIO.

Price : Tshs 13,300,000/=

(Fixed price )

BEI INAKUA IMEJUMLISHA PAMOJA NA ;

Ushuru ✅
Port charges ✅
Agency fees ✅
Marine insurance ✅
registration ✅
Bima ya barabarani ❌

Ikiwa una ;

Maswali
Maoni
Ushauri

Usisite kutuandikia hapo kwenye "comment section" au kwenye inbox (private message/direct message)

Au kupitia barua pepe :
ecarstanzania@gmail.com

Karibu!
 
Attachments

  • IMG_20160325_133559.jpg
    IMG_20160325_133559.jpg
    23.4 KB · Views: 97
  • IMG_20160325_133837.jpg
    IMG_20160325_133837.jpg
    27.8 KB · Views: 85
  • IMG_20160325_134024.jpg
    IMG_20160325_134024.jpg
    28.1 KB · Views: 81
  • IMG_20160325_134130.jpg
    IMG_20160325_134130.jpg
    21.3 KB · Views: 82
  • IMG_20160325_134245.jpg
    IMG_20160325_134245.jpg
    33.1 KB · Views: 83
corasco : haha, hii ndio bei sasa ya gari original, ambayo anaihitaji.

6m kwa sasa haitoshi kabisa .... ilikuaga inatosha enzi za 2000/1/2/3/4/5/6 sasa hivi vitu vipo juu mno!

Imagine, hio million 6, ushuru shillingi ngapi, gharama za usafirishaji ahilling ngapi, usajiri na bima shillingi ngapi...!? Heheh
 
Mhh!, mwaka jana june mtu kachukua kwa 7.5M ikiwa na K's kama hizo. inakuaje today inakuwa huko iliko. Bei ya Noah itakuwa shilingi ngapi sasa? mnatutisha tuone maisha yamepanda wakati si kweli
 
Mhh!, mwaka jana june mtu kachukua kwa 7.5M ikiwa na K's kama hizo. inakuaje today inakuwa huko iliko. Bei ya Noah itakuwa shilingi ngapi sasa? mnatutisha tuone maisha yamepanda wakati si kweli

Usiongee vitu ambavyo huna elimu navyo !!! Spacio unregistered kwa 7.5 million ???? Mimi nitakupa million 9 naomba niletee ofisini kwangu Spacio tano unregistered !!!!
 
Mhh!, mwaka jana june mtu kachukua kwa 7.5M ikiwa na K's kama hizo. inakuaje today inakuwa huko iliko. Bei ya Noah itakuwa shilingi ngapi sasa? mnatutisha tuone maisha yamepanda wakati si kweli

Yaani spacio bila namba hata ukiagiza mwenyewe from Japan hupati kwa 7.5 milllion !!! Acha kuwadanganya watu tafadhali
 
Munawar naona amerudi na lugha zenye staha hongera mkuu,happy eister
 
Munawar naona amerudi na lugha zenye staha hongera mkuu,happy eister
Yaani wewe jamaa story nyingi Kama kawaida !!!! Do something creative and productive that will benefit you rather than wasting time following my posts and comments
 
Yaani wewe jamaa story nyingi Kama kawaida !!!! Do something creative and productive that will benefit you rather than wasting time following my posts and comments
Kwa lugha zako chafu ukiacha na sisi tunakuacha wapo wadau nyuma lete shombo tuchafue sredi
 
Usiongee vitu ambavyo huna elimu navyo !!! Spacio unregistered kwa 7.5 million ???? Mimi nitakupa million 9 naomba niletee ofisini kwangu Spacio tano unregistered !!!!
Tuma pesa acha maneno yasiyo na tija, mm nimetoka kwenye industry inayofanya shughuri kama hizo. Kwanza ndio nmetoka dec mwaka jana. Usinifanye sielewi, wewe ndio huelewi kitu chochote!. Tuma pesa acha ujambazi nikuletee hizo spacio. Ni Pm acha ujinga usiokuwa na msingi
 
Yaani spacio bila namba hata ukiagiza mwenyewe from Japan hupati kwa 7.5 milllion !!! Acha kuwadanganya watu tafadhali
We wawapi?, tuma pesa uko mkoa gani?. Acheni kuwaibia watu, nimetoka kufanya biashara hizo kwahiyo naelewa tatizo lako mnataka super profit kwa wasioelewa!. We vipi, we unajifanya unaelewa kumbe ujambazi ndio umekujaa kichwani kwako huko!!. Sema upo mkoa gani?
 
Tuma picha za hizo Spacio hapa !!!! Sasa magari ni used from Japan , Kuna uhusiano gani baina ya used car na industry ???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom