Shamba linauzwa, maeneo ya pongwe Tanga

Lombrossian

New Member
Jul 3, 2016
4
6
Wakuu ninauza shamba liko maeneo ya Pongwe Tanga. Eneo linaukubwa wa eka 1.5, linafaa kwa makazi, huduma ya maji ipo, bei ni 3500000/=. Kwa maelezo zaid tunaweza kuwasiliana 0762007596
 
Kutoka stendi mpya mpaka kituo cha pongwe nadhan ni kama km.1, pia kutoka kituo cha pongwe yan barabara kuu hadi kwenye eneo husika umbali wake hauzid km.1pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom